Nimepigwa dolo club

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Duh! Hi club michosho. Hata dem mmoja hakuna!! No dancing stimulus kabisa. Hv hamna jf member yeyote maeneo ya hapa karibu jamani? Ledies plz.
 
Ni club gani???? Triple A??? Au uko pande zipi tukupe mchongo faster.
 
club ya watoto wadogo nini? sasa hivi sa tano club?
 
Ni club gani???? Triple A??? Au uko pande zipi tukupe mchongo faster.

nimetembelea hapa dom. Wenyej wamenijulisha kuwa inaitwa maisha club. Wanasema et mda wa totoz bado, mi nimewahi sana, sijui ni kweli!!
 
Dom hapa, dah yaan ndo imeingia mi mama mi2 aged 43+ sijui ni mibaunsa ya humu!! I'm bored to the maximum.
Dom 84 club au uko pale club mpya karibu na stand ya hood? nataka kukutoa udoro
 
nimetembelea hapa dom. Wenyej wamenijulisha kuwa inaitwa maisha club. Wanasema et mda wa totoz bado, mi nimewahi sana, sijui ni kweli!!
Teh kwa hapo umewahi sana mkuu ila pametulia sana km vp panda chako ni chako kagonge kuku kidogo the utawakuta wamejazana hadi nje.
 
Jamani udoro ndo maana tunaingia 2012 neno la msimu hili?
 
Teh kwa hapo umewahi sana mkuu ila pametulia sana km vp panda chako ni chako kagonge kuku kidogo the utawakuta wamejazana hadi nje.

ha ha ha ha....poa let me check out for tax.
 
Maisha Club, hebu nichangamshe mkuu.
Dah nimecheck na bibie ila bado hawajaanza kuja hadi badae km wakiibuka nitaku-PM usijali mkuu ingawa najua kwa hapo utabaki kuchanganyikiwa, TAKE CARE kaka.
 
Dah nimecheck na bibie ila bado hawajaanza kuja hadi badae km wakiibuka nitaku-PM usijali mkuu ingawa najua kwa hapo utabaki kuchanganyikiwa, TAKE CARE kaka.

kama vp mwambie aje na rafiki yake.
 
Daaah, wameanza kuja bwana mmoja mmoja kama matone ya mvua za kusindikiza mwaka. Soo ntalog off ikilazim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…