Nimefukuzwa na kupigwa makofi na mke wangu baada ya kukataa kumpa pesa za kununulia gari na na kumkataza kwenda kwenye kuhesabiwa huko kwao Machame aisee yaani sio poa kabisa
Mke wangu ni Mchaga na kila mwaka lazima waende lakini mwaka huu nikasema hauwezi kwenda kwasababu mwaka jana kule Moshi nilimfumania kwasababu nilikuwa namfuatilia kinyuma nyuma aisee
Nikasema mwaka huu hauwezi kwenda kwani nilimfumania na meseji za yule njemba akimshawishi wakutane moshi wazagamuwane kisha ndiyo wote waende huko kwenye mizimu yao huko moshi