Nimepigwa na Polisi bila hatia

Siku yakikamatika uwa yanapigea kwelikweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule shekh alipigwa chuma yupo ndani ya futi 6
 
Halafu sehemu za makaburi ndio wahuni wanapovutia bangi, bangi za makaburini lazima zikuchanganye akili...
 
Hilo jeshi mitaala yake huwa inafundisha kutumia nguvu zaidi kuliko akili.
 
Kazi ya laana ile huwa hawana utu wala huruma kama mbwa aliyepewa kazi ya kung'ata. Huwa hawaangalii ni nani na unafanya nini. Watu wengi sana wamepewa kesi au kufungwa bila hatia.
yule ni mwenzao.
 
Kwa tulipofikia kama donat ipo salama sema alhamdulilah
 
picha tupia
 
Wangekushenyeta mpaka wakuue pimbi ya kijani mwenzao!
 
Hiyo inaitwa wrong place at the wrong time

Ova
 
Jeshi letu la Polisi ni Jeshi Makini usilete Taharuki kwenye Jamii...
 
Mambo mengine unajitakia mwenyewe.Nchi hii ni hamza kanuni.

We unajua hayo maeneo sio salama alafu unapita.

Sawa na ukatize keko njia VETA kwa mguu ukiamini hakuna vibaka
 
Jitu linatembea uku linachati badala ya kuangalia mita 100 mbele kuna hali gani 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…