Nimepigwa na Polisi bila hatia

Can someone be labeled a criminal suspect simply by looking at their demeanor??
Mkuu hawa mapolisi wetu wenyewe division 0 za form 4 unafikiri wana akili? Wewe ukiwa sehemu ukaona watu wanakimbia polisi na wewe unganisha nao tu. By the way, it was just a joking.
 
Ina maana mkuu una sura kama ya vibaka! Yaani polisi hawawezi kutofautisha raia mwema na vibaka?
 
 
Hao Polisi hawana makosa kosa lipo kwenye mifumo kuto somana..Hilo eneo lilipaswa kupigwa marufuku watu kupita eneo hilo kwa kuweka mabango na uzio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…