Nimepigwa Tongozo

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
248
Kuna jamaa punga humu JF amekuwa akinisumbua sana kuwa anataka nimhemee, anasema amenifia ile kiroho mbaya kwa kuwa nina jina la kiporipori. Ameniambia atanifundisha namna ya kumuingilia kinyume , na nitaenjoy kuliko ninavyopata raha kwa mwanamke wangu.
My take, ndugu, sipendi kukutaja kwa jina, nimeandika hapa ili ujue kuwa ninakerwa na uchafu wako.
Pia wana JF naomba kwa nguvu zote tuukemee ujinga huu
 
Lazima anakufahamu huyo maana huwezi mtongoza mtu usiyewahi kuonana nae au kuona picha yake

 
Ulivyoanzana nae mpaka akamwaga sera hukutangaza?
 
Hahahahahahaha jamani rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa😛opcorn:
 
Ndio mambo yenu ya kuwatokea watu JF wenye ID za kike kumbe ni michongoma..ndio mkomege!!
 
Kumbe ndani ya JF watu wanatongozana kiukwelukweli, mimi navyoonaga wanaitana cousin mara sijuhi nini, mimi nilijua ni utani kumbe ni vya ukweli aisee,
 
Kumbe ndani ya JF watu wanatongozana kiukwelukweli, mimi navyoonaga wanaitana cousin mara sijuhi nini, mimi nilijua ni utani kumbe ni vya ukweli aisee,

Kaka wengine social life sucks, JF ndio sehemu pekee ya 'kutokea'..kwi kwi kwi..
 
Haaaahh hii kali kuliko kama umeamua kumchana hapa taja jina basi usituletee hadithi
 
:clap2:Hii kali ya kufungia kabisa mwaka....:clap2:
 
Modes wafatilie hichi kisa kinaifanya JF idharaulike, kwanza ningekuwa mimi ndio nimetongozwa ningebadili na ID kabisa kwa vile tayari nimeshatiwa nuksi nahitaji kuoga na maji ya baraka na kufunga kwa novena ya siku 9 bila kuzungumza na mtu yeyote, yaani ni kusali na kuimba tu kwa Mungu anisafishe na hiyo nuksi
 

Amina
 
shoga anaenda kwa shoga mwenzie haiwezekani kati ya vidume wote humu akuchague wewe
 
piga mashine bana then tuletee matokeo ubaoni hapa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…