Nimepigwa Tongozo

ANGALIA BABA USIJE UKAINGILIWA,,, MJINI HAPA , WAWEZA KUWA UNAZUGWA :clap2:
 
Mh,pole sana,mwombe mungu akuondolee hiyo nuksi inayokufuata.
 
Mungu amsamehe,Pole sana kaka yangu...msamehe.:coffee:
 
mtaje tu mkuu asijeendeleza mbinu zake chafu kwa members wengine
 
Mwage jina lake jamvini bwana!!!!, Waogopa nini??????
 
umesema tumkemee,mimi naanza ashindwe na alegee ktk jina la yesu,huyo pepo mbaya na amtoke! tokaa kwa jina la yesu! tokaa! tokaa!kwa jina la yesu amen,kuwa na amani ndugu hatarudia tena
 
dah kiongozi pole sana, i can feel the embarrasment, mkuu inawezekana huyo mwanaJF anacheza na IQ yako na kutaka kujua uwezo wako wa kuchukulia mambo simpo au serious na ww ni mchafu kiasi gani na pia inawezekana sio mwanadada huyo ni dume..hakuna mwanamke anaejiheshimu anaweza kuzungumza uchafu kama huu..THANKS for alert.
 
Hapana asifanye hivyo namshauri amsitiri lakin ampe very strong warning, na pia asifanye hivyo kwa mtu mwingine yeyote yule sio kwa WanaJF tuu...tabia chafu sana na kitendo cha kuvunjiana heshima na kudhalilishana. NOT ACCEPTABLE FOR GREAT THINKERS

Mwage jina lake jamvini bwana!!!!, Waogopa nini??????
 
Hapana asifanye hivyo namshauri amsitiri lakin ampe very strong warning, na pia asifanye hivyo kwa mtu mwingine yeyote yule sio kwa WanaJF tuu...tabia chafu sana na kitendo cha kuvunjiana heshima na kudhalilishana. NOT ACCEPTABLE FOR GREAT THINKERS
Amtaje tu. Kuna memba mwingine nae alishasemaga kuna c.hoko humu jamvini, ni vema akajulikana. Ishakua kero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…