Nimepigwa Tongozo

Mkuu ni kweli hii ni nuksi sana ikikukuta... wasiwasi wangu ni kwamba anaweza kukutongoza wewe maana umesema utabadili ID, ili tu ubadili ID... Punga ni Punga tu, ahata mawazo yake ni ya kipunga tu

On a serious note, namshauri sumbalawinyo amripoti huyo punga kwa mods

Sasa swali gumu, je wanaotumia PM kutongoza mademu wasiowajua nao wafanywe nini?
 
Kumbe ndani ya JF watu wanatongozana kiukwelukweli, mimi navyoonaga wanaitana cousin mara sijuhi nini, mimi nilijua ni utani kumbe ni vya ukweli aisee,

nakutaka....NAKUTANIA WEEWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!
 
du pambaf. mnajuana bana auhyo jamaa ni dem siyo dume halafu anakuja ipasavyo my be alikuwa dem wako sasa anakuletea mchezo akuone uko vipi msela.

we fikiria mwanzo mlianzaje kupm mpaka mkafikia hatua ya pambaf???
 

kwamba mtu anatongoza kwa pm??? a 4th generation indeed...
 
Utongozaji mwingine bwana, unatongoza monitor ya comp. yako kupitia keyboard, makubwa!
 
Duuu sasa JF inakuwa kama FB, tuwe waungwana!!!:twitch:
 
kweli jf demokrasia inazingatiwa imejumuisha watu wa aina zote bila kusahau mipunga
 
Jamani,mbona bahati hizi hazitupatagi sisi?Najua atasoma tu hapa labda na mimi ataanza kuni PM.....
 
Utongozaji mwingine bwana, unatongoza monitor ya comp. yako kupitia keyboard, makubwa!

lol!
Naona udenda ulikuwa unamtoka kabisa.
Haya makubwa halafu mazito.
 
Mmhh kuna nini humu ndani btw its a weekend kama kuna mtu anataka offer aje hapa Java fasta lol!

humu habari yake nzito.
Watu wanatamani hadi udenda umewatoka wameamua kumsumbua kaka wa watu.
Hapo java kuna maharage ya kuchoma na uji wa mchele?
 
humu habari yake nzito.
Watu wanatamani hadi udenda umewatoka wameamua kumsumbua kaka wa watu.
Hapo java kuna maharage ya kuchoma na uji wa mchele?
Ha ha ha hapa kuna black label na nyama choma na ballantines
 
kama kuna mtu anataka black label aje sasa hivi kabla sijaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…