Leo Asubuhi
Member
- Apr 5, 2017
- 64
- 43
Habari zenu wapendwa, kwa wiki moja mfululizo mwili hauko vizuri, nimepima malaria ,choo,mkojo, nk sijakutwa na kitu! Daktari akasema inawezekana ni hiyo BP akanipa dawa! Akashauri nipunguze uziko kutoka hizi 116 nilizonazo mpaka angalau 85, naomba mnisaidie mpangilio mzuri wa Lishe ili nifikie malengo, umri wangu ni 33,urefu 166Cm. Pia nauliza, nikifanikiwa kupunguza uzito na kuzingatia Lishe BP itashuka yenyewe na nitaacha dawa? Ahsanten