Leo Asubuhi
Member
- Apr 5, 2017
- 64
- 43
Kwa ufupi kunywa maji mengi kunaongeza pressure mwiliniPunguza vyakula vya wanga na nyama, ongeza mboga na maharage. Maji litre 1.5-2 kila siku
Kwahiyo nisinywe maji mengi?Kwa ufupi kunywa maji mengi kunaongeza pressure mwilini
Nenda hospital ukafanyiwe vipimo zaidHabari zenu wapendwa, kwa wiki moja mfululizo mwili hauko vizuri, nimepima malaria ,choo,mkojo, nk sijakutwa na kitu! Daktari akasema inawezekana ni hiyo BP akanipa dawa! Akashauri nipunguze uziko kutoka hizi 116 nilizonazo mpaka angalau 85, naomba mnisaidie mpangilio mzuri wa Lishe ili nifikie malengo, umri wangu ni 33,urefu 166Cm. Pia nauliza, nikifanikiwa kupunguza uzito na kuzingatia Lishe BP itashuka yenyewe na nitaacha dawa? Ahsanten
kunywa maji kunasaidia kama pressure inashuka na si kupandaKwahiyo nisinywe maji mengi?
2 little in 24 is recommendedKwa ufupi kunywa maji mengi kunaongeza pressure mwilini
Utani huu siyo mzuri tafadhaliulitembea na ruge????
Nilipumzika nusu saaIlikuwaje ulipimwa baada ya muda gani , kwa kawaida MTU anatakiwa apimwe BP baada ya kupumzika kwa takribana dakika 8 had I 10 na endapo kipimo cha kwanza kikaonyesha ni zaidi ya 140 au ni sawana hiyo na kipimo cha chinikikasoma 90 mm of Hg basis kwa MTU huyu atatakiwa kwenda kwa Dr ili apate kuchunguzwa zaidi na kupata maelezomya vipi atadumu na hiyo presha yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, kiukweli hapo uzito ndo mchawi mkubwa, Kwa uzito ulionao na urefu unatakiwa uwe na kilo atleast 66-70. Hapo ni kubadilisha zaidi mtindo wa maisha, kama unatumia vilevi acha,pendelea zaidi mbogamboga na matunda,kula mlo kamili lakini wenye virutubisho vyote(healthy balanced diet) hakikisha makundi yote ya chakula yapo, achana na junks foods(chips,burger,juice za viwandani n.k),fanya mazoezi angalau hata ya kutembea angalau dk 30 kila siku. Kunywa maji ya kutosha kulingana na uzito wako. Kwa Uzito ulionao atleast 4.5litres.Habari zenu wapendwa, kwa wiki moja mfululizo mwili hauko vizuri, nimepima malaria ,choo,mkojo, nk sijakutwa na kitu! Daktari akasema inawezekana ni hiyo BP akanipa dawa! Akashauri nipunguze uziko kutoka hizi 116 nilizonazo mpaka angalau 85, naomba mnisaidie mpangilio mzuri wa Lishe ili nifikie malengo, umri wangu ni 33,urefu 166Cm. Pia nauliza, nikifanikiwa kupunguza uzito na kuzingatia Lishe BP itashuka yenyewe na nitaacha dawa? Ahsanten
Itakusaidia kama unakumywa in place of sugary drinks2 little in 24 is recommended
Ahsante rafikiRafiki nashauri upige mazoezi. Ruka kamba, kimbia, fanya kazi, toka jasho, epuka vyakula vyenye mafuta mengi, punguza chumvi, kula mboga mboga sana! Pole, u gonna be ok.
NB: Usipoona check me!
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakusaidia kama unakumywa in place of sugary drinks
Ila kunywa maji ni dawa ya pressure kushuka ndo maana pressure ikishuka ukaenda hospital
Unawekewa drip ya maji
Umeelezea vyema Hope nami utanisaidiaPole sana, kiukweli hapo uzito ndo mchawi mkubwa, Kwa uzito ulionao na urefu unatakiwa uwe na kilo atleast 66-70. Hapo ni kubadilisha zaidi mtindo wa maisha, kama unatumia vilevi acha,pendelea zaidi mbogamboga na matunda,kula mlo kamili lakini wenye virutubisho vyote(healthy balanced diet) hakikisha makundi yote ya chakula yapo, achana na junks foods(chips,burger,juice za viwandani n.k),fanya mazoezi angalau hata ya kutembea angalau dk 30 kila siku. Kunywa maji ya kutosha kulingana na uzito wako. Kwa Uzito ulionao atleast 4.5litres.
Ndiyo,ukifanikiwa kupunguza uzito kwa kiasi kikubwa utakuwa umetibu shida hiyo na pengine ikapotea kabisa,labda kuwe na sababu nyingine za presha kupanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Normal BP ni 120/80 ,lakini normal pia inategemeana na umri na hali ya mtu ilivyo,mfano mzee akiwa hata na 130 or 140 Kwa 100 -110 huwa inahesabika normal, wakati mwingine 100/70-50 huwa wanahesabu normal kutegemeana na hali ya mgonjwa,ila kikubwa pia huangaliwa mapigo ya moyo yanahesabika vipi kwa dakika moja,Hili ni muhimu sana kujua.Umeelezea vyema Hope nami utanisaidia
Mie nahitaji tu elimu ya kusoma vipimo vya BP. Je BP ya kawaida huwa ngapi kwa ngapi, BP kupanda huanzia ngapi? Na kushuka je?
Nitashukuru ukinisaidia.
Asante mpendwa atleast nimefahamu hilo kwamba mara nyingi inategemea umrina uzito wa muhusika.Normal BP ni 120/80 ,lakini normal pia inategemeana na umri na hali ya mtu ilivyo,mfano mzee akiwa hata na 130 or 140 Kwa 100 -110 huwa inahesabika normal, wakati mwingine 100/70-50 huwa wanahesabu normal kutegemeana na hali ya mgonjwa,ila kikubwa pia huangaliwa mapigo ya moyo yanahesabika vipi kwa dakika moja,Hili ni muhimu sana kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app