Karibu kwenye CHAMA aisee.. hata mimi nilishawahi pima miaka kama kumi nyuma. Sasa mwezi mmoja uliopita nikapata ka Ness fulani. Kakakomaa tupime lakini nilikuwa napiga kavu bila kupima.. ukweli siku niliyoamua kupima nilihisi kuugua ghafla na kuhara juu..
Nilichofanya nikaenda maabara nikaacha damu na namba ya siku.
Sikuaamini nilipoambiwa sina maambuzi. Maana Mara ya mwisho waliniambia majibu yangu hayasomi kwa hiyo hawajui kama nimeathirika au hapana.
Kumbuka nahisi idadi kama ni ndogo basi nimepita na sabini na kati ya hao hawafiki ishirini niliyotumia kondomu... hongera na karibu sana