Nimepima lakini Maabara zatofatiana majibu

Nimepima lakini Maabara zatofatiana majibu

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,201
Reaction score
16,246
Habarini zenu wanajamvi.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna muda nimepima magonjwa yafuatayo ; uti,typhoid,amoeba,malaria, nilipima haja kubwa na ndogo kwa pamoja, katika maabara kama tatu hizi za wafanyabiashara ama za mtaani ila naambulia majibu tofauti.

Yani hapa una uti ila huku hauna uti ni mfano tu huo yaani ni full kuchengana. Mpaka nikachanganyikiwa.

Kwa watalaamu Wa fani hii naombeni msaada wenu jamani. Niko dilemma
 
Pole ila maabara nyingi za mtaani hazijafunguliwa kwa utaratibu na wengi wahana LESINI, hivyo practically, they are not ELIGIBLE kufanya hizo shughuli na majibu yako ni moja ya uthibitisho wa nilichoandika hapa!
 
Habarini zenu wanajamvi.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Kuna muda nimepima magonjwa yafuatayo ; uti,typhoid,amoeba,malaria, nilipima haja kubwa na ndogo kwa pamoja, katika maabara kama tatu hizi za wafanyabiashara ama za mtaani ila naambulia majibu tofauti.

Yani hapa una uti ila huku hauna uti ni mfano tu huo yaani ni full kuchengana. Mpaka nikachanganyikiwa.

Kwa watalaamu Wa fani hii naombeni msaada wenu jamani. Niko dilemma
Mtu mwenye ufahamu sahihi wa kutafsiri majibu ya Vipimo ni Daktari.
Mtu wa maabara labda kipimo kiwe kinaonesha Positive au Negative.

Mfano ukifanya Urinalysis kuangalia UTI mtu wa Lab anaangalia Dead White Blood cells kwenye Mkojo, kwa kuhesabu idadi.

Hizi zina Range 0-4 ni normal kabisa na hapa ndo ufahamu unapokuja mtu kama hana maarifa hayo kisa tu kaona hiyo idadi anaweza sema ni UTI kumbe hiyo range inakubalika.

Nakushauri uende Hospitali yenye daktari
 
Back
Top Bottom