Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mtu mwenye ufahamu sahihi wa kutafsiri majibu ya Vipimo ni Daktari.Habarini zenu wanajamvi.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kuna muda nimepima magonjwa yafuatayo ; uti,typhoid,amoeba,malaria, nilipima haja kubwa na ndogo kwa pamoja, katika maabara kama tatu hizi za wafanyabiashara ama za mtaani ila naambulia majibu tofauti.
Yani hapa una uti ila huku hauna uti ni mfano tu huo yaani ni full kuchengana. Mpaka nikachanganyikiwa.
Kwa watalaamu Wa fani hii naombeni msaada wenu jamani. Niko dilemma