god with us
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 391
- 100
Mhh! Sasa hiyo 'saikolojiko tocha' mtu unakua nayo mwezi mzima wanaifikiria? Mi naona heri upime na kwengine upate uhakika maana huo mwezi wa kusubiria utakua mgumu kwako sababu kucha utakuwa unawaza
Nifahamishen huo utata unakuwaje?
Nifahamishen huo utata unakuwaje?
maelezo yako yamekaa poa sana(joti syle)Kupima VVU tunatumia vipimo vya aina mbili. Ya kwanza ni Determine na ya pili ni Unigold. Determine tunatumia kudetect uwepo wa vvu na ili kujihakikishia tunatumia na unigold as a confirmatory test. Ili kuonesha kwamba umeathirika vipimo vyote viwili lazima vitoe mistari miwili. Inapotokea kipimo kimoja yaani Determine ikatoa mistari miwili na unigold ikatoa mstari mmoja hayo ndio tunayosema majibu tata. Na kwa kawaida inatakiwa urudie kupima baada ya siku kumi na nne na sio mwezi.
Nifahamishen huo utata unakuwaje?
Majibu yenye utata ndio majibu gani hayo?
Tafuta kituo chochote cha ANGAZA kapime huko, utapokea majibu yako muda mfupi tu na ya uhakika.
labda idadi ya virus imekuwa nyingi kuliko kawaida...yaani battery full
Inaonekana wengi hamjawahi kupima ukimwi,
wacha nitoe somo,
Ukienda kupimwa wakati wa ushahuri nasaa unaambiwa kawaida kuna majibu matatu, Postive, Postive/negative na negative.
Hili Postive/negative naamini ndili lilo mkuta ndugu yetu hapo na kawaida ili kuconfirm inabidi aje baada ya miezi mitatu maana kama ana virus basi atakuwa tayari kashakuwa Postive.
By nestor83 :
Kupima VVU tunatumia vipimo vya aina mbili.
Ya kwanza ni Determine na ya pili ni Unigold.
Determine tunatumia kudetect uwepo wa vvu
na ili kujihakikishia tunatumia na unigold as
a confirmatory test. Ili kuonesha kwamba
umeathirika vipimo vyote viwili lazima vitoe
mistari miwili. Inapotokea kipimo kimoja yaani
Determine ikatoa mistari miwili na unigold
ikatoa mstari mmoja hayo ndio tunayosema
majibu tata. Na kwa kawaida inatakiwa urudie
kupima baada ya siku kumi na nne na sio
mwezi.
MAELEZOZO YA NESTOR NI SAHIHI KABISA INAWEZEKANA KABISA UTAKAPOENDA UKAAMBIWA UMEATHIRIKA AU LA. LAKINI KAMA UPO DAR UNAWEZA KWENDA AGHA KHAN HOSPITAL WANA KIPIMO KINGINE KINACHOITWA ELISA TEST HISHO KINA DETECT NGOMA HATA YA SIKU MOJA KAMA UPO MBALI NENDA BAADA YA SIKU KUMI NA NNE UNIGOLD NA DETERMINE YATAAONYESHO POA. LABDA NIELEZE NI NN KINAFANYA MAJIBU YAWE TATA INAWEZEKA KAMA SIO HIV BAS UTAKUA UNAUMWA UGONJWA MWINGINE AMBAO UNAPUNGUZA KINGA ZA MWILI HIVO UMEAMSHA ANT GEN ZAKO MWILINI NA HIVO KIPIMO HIKI KUDETECT MAANA VIPIMO HIVI HUPIMA ANTIGEN ZINAZOPAMBANA NA HIV. NAZAN TUMEELEWANA NAKARIBISHA MASWALI PALE AMBAPO HAPAJAELEWEKA.