NIMEPIMA VVU LEO.

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
Baada ya kufanya Mapenzi na Mtu mwenye VVU wiki kama 3 nyuma Leo nilienda kupima....

1- nimeambiwa virusi vya VVU hukaa kwenye damu na si mahali pengine.

2- Ili update VVU lazima mbadilishane damu na Mtu mwenye VVU.

3- VVU inaweza kuwa detected within a weeks after exposed to your body.

4- Kuna aina 2 za virus HIV 1 na HIV 2, HIV 1 hii imesambaa sana duniani ila HIV 2 IPO baadhi ya sehemu

5- Majibu niliyopewa ni NEGATIVE (SINA MAAMBUKIZI)

6- Kurudia kupima hill ni takwa LA mteja, ila inashauriwa sababu unaeza kuwa ulisex multiple times with multiple person
few days before checking


NIKAPEWA NA KONDOMU
 
Majibu yalikua kama haya? Kama umelala naye na umepima huna ni sawa lakini bado huwezi kujiamini kwakua virusi kuanza kuonekana vinategemea na kinga ya mwili wako lakini pia kumbuka unaweza kupata maambukizi na ukaishi navyo kwa zaidi ya miezi 6 au mwaka na visionekane.Chamsingi endelea kufanya check up kila baada ya miezi mitatu,endapo utaonekana upo salama basi achana na ngono isiyo salama au acha kabisa uzinzi pia ukiwa navyo utapatiwa ushauri lakini usisambaze kwa makusudi
 

Attachments

  • 1537548240134.jpg
    57.3 KB · Views: 46
Je inapofika zaid ya mwaka na ukacheki hauna inakuaje hapo kwamba Kuna nafasi ya positive badae?
 
Je inapofika zaid ya mwaka na ukacheki hauna inakuaje hapo kwamba Kuna nafasi ya positive badae?
Mara nyingi mtu huwa salama ingawa kuna watu wengine kinga zao ni kubwa hivyo anaweza kuchukua muda mrefu kuonekana na virusi vya HIV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…