Nimepitia Hotuba zote za mchungaji Msigwa kuhusu CHADEMA na kama anayosema ni kweli lazima Polisi wataifuatilia kwa makini!

Nimepitia Hotuba zote za mchungaji Msigwa kuhusu CHADEMA na kama anayosema ni kweli lazima Polisi wataifuatilia kwa makini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Msigwa alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa Miaka zaidi ya 10 hivyo ni Wazi anajua Uovu mwingi wa Chama hicho na mapolisi na Wananchi watamuamini tu.

Komredi Makalla alitumia akili kubwa kumvuna mchungaji Msigwa Kutoka CHADEMA kwa wakati sahihi kabisa kwa sababu ataeleza Siri zote za CHADEMA kutokana na hasira za Kushindwa Uchaguzi wa Nyasa Kwa kura moja tu.

Unaweza kukuta Mpango wa kuteka Vituo vya Polisi ulifanyika wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu.

Ikumbukwe tu Yuda Iskarioti alinunuliwa na Kaisari Ili awape Siri za Yesu wa Nazareth kwa sababu ni nduguye hivyo anamjua kuliko wale Wafuasi 11 waliobaki.

Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

Mchungaji Msigwa anamwaga Ugali na Mboga kitakachobaki ni 🔥 tu

Jumaa Mubarak 😃
 
Police CCM kabla hawajawafikia hao chadema waanzie uko uko Kwenye chama Chao Cha majambazi,na Kwenye jeshi lao kumejaaa waovu mpk wanatuma vijana wakalawiti mtaani ..

Km taifaa tunasafari ndefu sanaa
 
Ameweka doa chafu kwenye jina lake na ukoo wake.He's a real snake/snitch!Amezeekea pabaya kwa sonono pomoni.
 
Back
Top Bottom