binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Kwa kweli kwa hili nimeonewa. Yeye mwaka wa mbele alinichomekea tu hapo, alimkusudia Binti wa zamani.Si ndio πππ
binti kiziwi na ungariba wapi na wapi
Wewe ndio unatakiwa ulale ukueNaomba upumzike, utaamka unaumwa mgongoπ
Mbaga Jr ni mmoja tuu, epuka matapeli.Mbona hapa u sound like mbagaπ€
Kuna msemo huwa wanasema ngariba haogopi mkojo umewahi kuusikia?Basi sawa, ila kabla sijazikubali, kwani ngariba ana sifa gani?
Nakuwa tena hapa naenda wapi na huu uzeeπWewe ndio unatakiwa ulale ukue
Mambo, tangu siku ya kwanza nakuona, niliona watoto wangu watarajiwa ndani yakoHumu kuna mengi kumbe
Hawakuwezi, wakitaka kukuwangia unawarushia bao moja usoni, watapoteana wenyewe πNipo mamaa, wachawi ni wengi ila bado nipo hai
Sasa we naye ni wa kurogwa? Maisha yako tu ni uchawi toshaπNipo mamaa, wachawi ni wengi ila bado nipo hai
Nimeshtuka aiseeπ€£Mbaga Jr ni mmoja tuu, epuka matapeli.
Missing u so badd sissy..π
humu ndani mambo ni mob, and yeah nilipigwa ban wenye kuhitaji nafasi hiyo ofcourse wali party kama kawaida yao! Huku ndani mama njoo jifurahishe na wanaocheka na wewe, toka zako!
Ukijichanganya sana especially na hii gender π± utashangazwa! Out of air utanuniwa, utajikuta kwenye kakikundi ka kipuuzi like mnamgombea mtu wakati u r here for fun! Na kuna kausenge wakikuona huandamani na id fulani wanajiunga nayo, without knowing anything behind!
Wengine ndio hao multiple za ******* na ukisema this psycho is dead to me anakujia na multiples lukuki, ni kama anatumwa hivi.. I donβt reply shit! yani vichekesho tu kama machokoraa vileπ
Kuwa makini mamaa hakuna rafiki yako humu! Am outπ€Έπ½ββοΈ
Una ugonjwa wa macho.Mambo, tangu siku ya kwanza nakuona, niliona watoto wangu watarajiwa ndani yako
Kwa kweli kwa hili nimeonewa. Yeye mwaka wa mbele alinichomekea tu hapo, alimkusudia Binti wa zamani.
Sijaelewa, mie mzee, muende na mimi taratibu π
Tena bao la moto waungueHawakuwezi, wakitaka kukuwangia unawarushia bao moja usoni, watapoteana wenyewe π
Wachaw wnyw c ndo kama wwSasa we naye ni wa kurogwa? Maisha yako tu ni uchawi toshaπ
The Icebreaker yani nimerudi humu nakuona kwa macho yangu unaibiwa.Ifike mahali nipate hata ka-crush ka kugombaniana na watu wa humu kmmk
Crushie zangu mshamba_hachekwi na The Icebreaker nisiwaone mnacheka na jinsia inayojitambulisha kama ke humu π€¨
Usijali, najua unahofia zile siri zako kuvuja, Tulia siri zipo sehemu salama πNimeshtuka aiseeπ€£
Kwishaaa hakuna shida hapo.Sasa mie nikawa muwazi nikamtaja aliyemkusudia
Si hamna shido hapo? π€£