We unamuonaga akiwa serious kweli๐คฃMuonee huruma, naye katoka kuachika, sasa hivi yupo serious anataka kuoa. Kamdomo atapunguza ๐
Kwamba toto la kidigo na mautundu yake yote halijakukidhi haja zako? au unataka kusemaje?Naongeza mke wa pili ๐
๐คฃ๐คฃkwanini hujapenda jioni hiiBora ungenikataa usiku hii jioni hapana kwakweli
Sijapenda ๐
Ana upwiru ila kwa sababu tumesema apunguze kamdomo hataweza kujibu so namsemea!๐คฃ๐คฃkwanini hujapenda jioni hii
Nabadilisha ladha ๐Kwamba toto la kidigo na mautundu yake yote halijakukidhi haja zako? au unataka kusemaje?
Ndiyo amekaa kama anatania ila yuko serious, halafu mcheshi mwenyewe ๐We unamuonaga akiwa serious kweli๐คฃ
Daaah, yani nilijua mdigo atakutuliza na mahaba ya kitanga, kumbe bado unataka na tamu nyingine ๐Nabadilisha ladha ๐
Burudika mamieJF raha sanaaa.....
Huyu labda akatwe ulimi๐Ana upwiru ila kwa sababu tumesema apunguze kamdomo hataweza kujibu so namsemea!