Hii rumba ya leo siiwwezi, naona umengia kwa madaha ewe winga๐น๐น๐น๐น
Ila chiwawa unapenda kujiamulia mambo..!!
Mchuma janga kaamua kulilaza chini janga lake.
Kijana wangu, bora sasa hata awe mwenza ๐คฃ๐คฃHivi JF na hizi Id zetu fake. Mtu anapata wapi ujasiri wa kugombea mwenza?
Na maugomvi ya aina hiyo yapo kweli?
Halafu kuna chokoraa lishaanza kujihisi wakati hata sinaga hesabu nalo, watu fake kwa kujipa umuhimu๐Ni huzuni ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Duuh, pole yake!Alikuwa anashindana na boss wake
๐น๐น๐นDada niache siwezi hela uwiiiii
Naomba nishuke ๐๐
Hivi ni vituko uswahilini, eeeh bwanaee, uswahilin kuna vitukoo.Long time ulienda wapi?
Eti inasemekana de Gunner anayasambaza mtaani kuwa mimi na wewe tunamilikiwa na yeye na kwamba ametuonea huruma sisi sio type yake ๐ฉ
Kuna mambo mtaani. (Kwa sauti ya Diamond)
Bye maa ๐ค๐น๐น๐น
Sikushushi mpaka utoe dukuduku lako..!!
Aisee hii kumbe kulikuwa na vita ya ma wadada na ma crushes wao?Hapo ni crush tu, siku akiolewa si utatolewa bandama
Ulienda mwenyewe au uko na maMtu?Nipo njian bado
Natokea Bunju kucheza mdundiko
๐น๐น๐น Tulia wewe..!!Hii ni ya lini tena... ๐
Yule wa kuitwa prida sijui frida mlishamaliza tofauti zenu?Unaamka asubuhi una maadui wapya usiowajua๐ kisa ulilike post ya crush wake utajutraa
Halafu wanajazana ujingaa mpaka unajiuliza hivi humu watu wanajitambua kweli au ndio watoto wengi๐คญ
Aisee na ulivyo mchokonozi mbona watakubali tu๐น๐น๐น Tulia wewe..!!
Hapa kuna vita ya crush kucrushiwa na kucrushiana..!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Chokoraa tena, ngoja na mimi nilale nisije nikaambiwa kwa nini nacheka mtu kuitwa chokoraaHalafu kuna chokoraa lishaanza kujihisi wakati hata sinaga hesabu nalo, watu fake kwa kujipa umuhimu๐
Hebu nikalale mie!๐๐ฝ
Makebo yamezidi kupata umaarufu jukwaani.Naomba mnijuze, nimepitwa na yapi humu?
๐น๐น๐น Nilitaka ufike nikupe hapa hapa..!!Unapenda sana umbea mwanakwetu.
Mbona hukunitumia sasa
View attachment 3666158
Ana matatizo ya akili, anashindwa kutofautisha ndoto anazoota na uhalisia, hakuna mwanamke anaweza kumkubali humu.
Sijui hata anaweza kuthibitisha nini, ila aje tu, nipo nimejaa tele!