prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
Usije ukaingizwa town mchana kweupeee,maisha yamekua magumu sikuhizi watu ni wabunifu sana
Habari yako ndugu ...........? Ofisi ya (Diamite International Company) inapenda kukupa nafasi ya kipekee, endapo utapendelea kutumia MUDA WAKO WA ZIADA kuweza kujiongezea kipato! Kama ndio, tafadhali tumia namba hii kupata maelekezo ya namna ya kufika ofisini kupata maelezo zaidi. 0713......... By Magdalena
Acha uoga, fuatilia huenda ukalamba bingo. Ila cheza nao kimachale huku na wewe ukichukua tahadhari muhimu kama vile usiwape your bank account information, password za tigo/voda pesa, dont send them any money for any purchase, etc..!
Hapo pekundu hujamstukia huyo Magdalena
Habari yako ndugu ...........? Ofisi ya (Diamite International Company) inapenda kukupa nafasi ya kipekee, endapo utapendelea kutumia MUDA WAKO WA ZIADA kuweza kujiongezea kipato! Kama ndio, tafadhali tumia namba hii kupata maelekezo ya namna ya kufika ofisini kupata maelezo zaidi. 0713......... By Magdalena
kivipi mkuu
Kuwa makini.. Juzi kati hapa nilipata cimu inayofanana na hiyo.. Nikaambiwa niende pale Diamond nikaonane nao.. Nilimuuliza alienipigia amenijuaje akaniambia nimekuwa recommended na dada mmoja (wakataja na jina).. Nikawaambia ngoja nicheki na huyo dada kama kweli.. Nilipowaciliana nae akashangaa sana akasema hajawahi kuongea na mtu kuhusu mie..! Nadhani na wao waliona wamenikosa maana hawakunitafuta tena.. Cijajua sasa utapeli wao ungekuwa wa aina gani..Labda ambae ameshawahi kukumbana nao ana kwa ana atujuze hapa..
Matumizi mengine yepi tena?Ungeweka namba kamili badala ya hiyo 0713 ambayo ina matumizi mengine kabisa
mwambie huyo Magdalena hutumii huo mtandao
Ungeweka namba kamili badala ya hiyo 0713 ambayo ina matumizi mengine kabisa
Hata mimi niliwahi kutumiwa sms ya aina hiyo nikashituka na sikufuatilia, nikajua ni utapeli.
:nimekataa forever living haoooo
nimewashtukia hawa, m hata sijawah kuwaomba