Nimepokea spare za simu yangu niliyo ipoteza kama mwezi mmoja uliopita

PgSoft2008

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Posts
264
Reaction score
73
Kama wiki tatu au mwezi mwezi mmoja uliopita nilipoteza simu yangu aina ya Lenovo K5 pamoja na vitu vingine wakati nikisafili kati ya Confort hoteli maeneo ya kitonga na Igumbilo cheki pointi Iringa.

Simu iliyo potea ina matatizo ya display pamoja na housingi, kwa ufuti inawaka lakini display haifanyi kazi na pia imevunjika.

Najua sio rahisi kwa aliye okota kupata mbadala wa vifaa vilivyo halibika kwani hata mimi nimevipata kutoka China.

Nina mapendekezo mawili kwa aliyeokota.

1. Kumuuzia hivi vifaa kama amependa kubaki na simu au
2. Kumuomba anirudishie simu kwa masharti atakayopenda .

Tafadhari njoo inbox kama una taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichokipokea hasa ni nini?
 
Mbona kila kitu kiko clear wakuu vipi kukaza ubongo

Jamaa aliagiza spare parts za simu yake mbovu.Kabla spare hazijaja ,akapoteza simu.Sasa spare zimekuja hivyo aliyeiba/okota hiyo simu amepewa option hizo hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo ndio utajua kwanini mtihani mmoja lakini watahiniwa wanapata alama tofauti tofauti.
 
Mbona kila kitu kiko clear wakuu vipi kukaza ubongo

Jamaa aliagiza spare parts za simu yake mbovu.Kabla spare hazijaja ,akapoteza simu.Sasa spare zimekuja hivyo aliyeiba/okota hiyo simu amepewa option hizo hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umeeleza nikaelewa. Haya Asante kwa ufafanuzi
 
Hahaha masharti weka wewe, akiweka yeye utaweza?! Muwe mnafikiria mnaposema " masharti atakayo taka yeye" akiomba mzigo ili akurudishie simu mbovu utatoa?! Au unajifurahisha tu.
 
Tafuta mtu mwenye K 5 yenye shida muuzie hizo spares.
 
Kama wiki tatu au mwezi mwezi mmoja uliopita nilipoteza simu yangu aina ya Lenovo K5 pamoja na vitu vingine wakati nikisafili kati ya Confort hoteli maeneo ya kitonga na Igumbilo cheki pointi Iringa.

Simu iliyo potea ina matatizo ya display pamoja na housingi, kwa ufuti inawaka lakini display haifanyi kazi na pia imevunjika.

Najua sio rahisi kwa aliye okota kupata mbadala wa vifaa vilivyo halibika kwani hata mimi nimevipata kutoka China.

Nina mapendekezo mawili kwa aliyeokota.

1. Kumuuzia hivi vifaa kama amependa kubaki na simu au
2. Kumuomba anirudishie simu kwa masharti atakayopenda .

Tafadhari njoo inbox kama una taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
UNAHITAJI KUPOKEA ROHO MTAKATIFU AKUONGOZE
 
Back
Top Bottom