PgSoft2008
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 264
- 73
Kama wiki tatu au mwezi mwezi mmoja uliopita nilipoteza simu yangu aina ya Lenovo K5 pamoja na vitu vingine wakati nikisafili kati ya Confort hoteli maeneo ya kitonga na Igumbilo cheki pointi Iringa.
Simu iliyo potea ina matatizo ya display pamoja na housingi, kwa ufuti inawaka lakini display haifanyi kazi na pia imevunjika.
Najua sio rahisi kwa aliye okota kupata mbadala wa vifaa vilivyo halibika kwani hata mimi nimevipata kutoka China.
Nina mapendekezo mawili kwa aliyeokota.
1. Kumuuzia hivi vifaa kama amependa kubaki na simu au
2. Kumuomba anirudishie simu kwa masharti atakayopenda .
Tafadhari njoo inbox kama una taarifa
Sent using Jamii Forums mobile app