Anabebwa sana huyo, .anapigwa lakn anatangazwa yeye...
Hahhahahaahhah naona mnapigia mahesabu hela ya mtu..Watamkata kodi ibaki Tsh 2 trillion
Usinidhalilishe kwamba haujui kiingereza au? Sasa rigged si ndiyo maana yake ile kitu ilikua maigizo?
Na ndo nasema inawezekana hata kwenye ufc ikawa hivyo hivyo.
Tatizo na wewe una mahaba sana na Floyd..Halafu unamshindanisha Floyd na Chriss Eubanks??
Aisee we jamaa hujielewi kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahhahahaahhah naona mnapigia mahesabu hela ya mtu..
Mwambie huyoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Em na we kua na akili basi kidogo.. Igizo mtu achukue B' usD!!!!???
Haujui mchezo wa boxing kaa kimya.Em na we kua na akili basi kidogo.. Igizo mtu achukue B' usD!!!!???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haujui mchezo wa boxing kaa kimya.
Sony liston vs Muhammad Ali katika pambano la pili Liston alipigwa katika raundi ya kwanza.Mwambie huyoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiambiwa uthibitishe utaweza?Sony liston vs Muhammad Ali katika pambano la pili Liston alipigwa katika raundi ya kwanza.
Hapa unamzungumzia bondia ambaye opponents walikua wanamkimbia mmoja mpaka akasema "Mimi na meneja wangu tukiwa tuko mtaani tunatembea tukimuona Liston kwa mbali tutabadilisha njia, hatutaki hata kupishana naye. Ila Ali akishinda nitaufuata mkanda kwa Ali"
Bondia anayeogopwa hivyo anapigwaje raundi ya kwanza?
Conclusion ikaja kua ile game ilikua rigged, at the moment ilikua ni game yenye mkataba mnono tu.
Haya muite huyo Data aje hapa aone
Andazi kweli wewe...Haujui mchezo wa boxing kaa kimya.
Yani we hovyo kweli...Bondia anayeogopwa hivyo anapigwaje raundi ya kwanza?
Hajielewi huyu dogo,Yani we hovyo kweli...
Wewe ndo unajua boxing... Kwa comment hiyo!??
Hahahahahahaha sawa kiaziAndazi kweli wewe...
We hilo swali alijiuliza hadi Don King mpaka Meya enzi hizo we unapuliza jiko la kuni.Yani we hovyo kweli...
Wewe ndo unajua boxing... Kwa comment hiyo!??
mmmmh mkuuWewe shabiki namba moja haujui kua jamaa alishapigana mpaka mieleka? Halafu alipigana na Big Show na akashinda, game nzima ilikua rigged.
Same shit can happen huko kwenye ufc.
Floyd alishinda ila yalikuwa ni maigizo.mmmmh mkuu
mm mbona sikuona mechi alizoshindaga ,zaidi niliona dis tu alizokua anazitoa... mara amchonge big show(sanamu) anakipiga mangumi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mechi akija anakuja na security na wapambe kibao wa cash money...