#COVID19 Nimepona corona baada ya kuugua 14 days

Soweto2006

Member
Joined
May 8, 2021
Posts
45
Reaction score
210
Leo kwa mara ya kwanza nahisi naishi duniani baada ya recovering ya corona.

Nimeugua sana kwa week mbili, ombi langu kwenu wote kama una magonjwa kidogo kama BP, Sugar, TB, HIV nakadhalika, jitahidi kwa nguvu zote kuiepuka Covid19.

Yaani hakikisha haikupati ndugu yangu
 
Pole, tupe experience yako mkuu.
 
asanteni wakuu,kama niliyvosema jitahidi kuikwepa corona ni hatari sana
 
Pole sana mkuu, hasahasa ahimidiwe Mungu aliyekuongeza siku za kuishi kwa kuwa si kwa ujanja wetu wala kwa utalamu wa madaktari.
 
Heri wewe umepata nafasi ya kuleta mrejesho wengine sasa hivi majina yao yamebadilika kuwa waenda zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…