didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wana JF nipende kuwahakikishia mimi nimepona kabsa na ninaendelea na shughuli zang za kijamii,kiuchumi, na kiuzazi kama kawaida.
Nimekua nikiendelea kupokea pole na wengne hadi PM wananifuata kunipa pole, ahsanteni sana kwa upendo wenu ila kwasasa nipo ngangari huru kutoka kweny gonjwa lolote. Ahsanteni sana na soon nitaanza kushusha nyuzi za siasa na Dunia kwa ujumla.