Nimepona

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
248
Nawashukuru wale wote walio changia thread yangu iliyokuwa na kichwa "Mtarimbo wangu umelala doro"
Wengi walinipa moyo na kunifariji, wengine walinikebehi, wengine walinidiriki kunitukana, nilivumilia, nikasamehe na kusau.
Kwa mawazo yenu nimejengeka imara, sasa nafurahia tendo, tena hata mpaka mara nne kwa usiku mmoja.
Nakumbuka Great Thinker BWABWA alidiriki kuniambia kuwa safari ya mimi kuwa shoga imewadia, nilivumilia, na niliyachukua yale maneno kama changamoto.
kila nikiwa kwenye dua yangu nilikuwa namwambia Mungu aniepushe na aibu ya uhanithi.
Mungu wetu hakika ni mkubwa kuliko shida zetu.
Nawapendeni Great Thinkers wote, mawazo yenu yalinipa nuru na mwanga kwenye kipindi kile kigumu cha mpito.
Naomba watu wakianika shida zao tusiwasimange wala kuwabeza.
Asanteni wote.
 
Basi hongera kwa uvumilivu wako na kupona pia. Pia usizingatie ya BWABWA maana huenda anataka kupata wafuasi.
 
pole kwa wakati mgumu uliopitia. na hongera kwa ushindi
 
........ummmmmh that fast mzee? ungeiweka hii kule kwa JF Dr, na ueleze rejuvenation yako ilitokeaje, ingesaidia sana na wengine wenye shida kama yako.....!
 
EEEEEEEEh lovely!!!!!so ulifanya nn mpaka ukapona?tell us pls,tujue
 

Pamoja Kaka...
 
Hongera sana hasa kwa kwenda mara nne kwa usiku mmoja...unatisha,mwenzio hachoki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…