CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Msaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan,dawa za asili na kisuuna hadi maombi
Nakata tamaa sasa
Angalia emmanuel.tv then ulete mrejesho hapa. Ni Chanel number 390 DStv au utapata kwenye free chanels za madishi makubwaMsaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan...
Una uhakika anayo Tv na Dstv anayo mkuu?Angalia emmanuel.tv then ulete mrejesho hapa. Ni Chanel number 390 dstv au utapata kwenye free chanels za madishi makubwa
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Kiuno hadi miguuPole sana jaribu kununua mafuta olive oil na habattsoda wakuchue huku unaangalia mengine
Hata ukichomwa sindano husikii kitu
Hujasema umepooza wapi?
NoPole sana ila dudu inasimama?
Usikate tamaa bado una nafasi ya kupambania hali yko.Msaaada jamani mwezi wa sita huu nimefanya matibabu ya kila aina,hospital paliponifilisi na mri scan,dawa za asili na kisuuna hadi maombi
Nakata tamaa sasa
ThxUsikate tamaa bado unanafasi ya kupambania hali yko.
Naruhusiwa niku PM nikuulize kitu?
Duh...au basiPole sana ila dudu inasimama?