Nimepotelewa na Vyeti,je nianzie wapi nipate vingine?

Nimepotelewa na Vyeti,je nianzie wapi nipate vingine?

aleez

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
46
Reaction score
7
Jamani wadau hivi ukipotelewa vyeti vya form four au six unatakiwa ufanyaje ili kureplace kile cheti?
 
Jamani wadau hivi ukipotelewa vyeti vya form four au six unatakiwa ufanyaje ili kureplace kile cheti?

mkuu, kuna procedure za kufuata ikiwemo kutoa taarifa polisi kwanza, baada ya hapo unapewa ruhusa ya kwenda kutangaza magazetini halafu unasubiri baada ya muda kungoja majibu...

vikikosa sasa ndio unaenda baraza wanakutengezea uthibitisho wa attendance tu ya hivyo vidato...

kumbuka : hakuna replacement origina ya vyeti... utapewa tu uthibitisho wa wewe kuwepo tu shuleni! (actually sijawahi ona wanavyothibitisha...!)

otherwise, anaejua zaidi, aeleze!
 
Hakuna replacement ndugu, ila unaweza kufanya kama alivyoeleza Excel hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom