mkuu, kuna procedure za kufuata ikiwemo kutoa taarifa polisi kwanza, baada ya hapo unapewa ruhusa ya kwenda kutangaza magazetini halafu unasubiri baada ya muda kungoja majibu...
vikikosa sasa ndio unaenda baraza wanakutengezea uthibitisho wa attendance tu ya hivyo vidato...
kumbuka : hakuna replacement origina ya vyeti... utapewa tu uthibitisho wa wewe kuwepo tu shuleni! (actually sijawahi ona wanavyothibitisha...!)