Shukrani mtaalam vipi inachukua mda gani mpaka kupewa card nyingine
Shukrani sana mkuu🙏. Umenipa mwangaKadi inachukua kama wiki moja kuipata na hiyo hela ya card hulipi cash, wanakata huko kwenye card.
Kama ina hela nyingi piga huduma kwa wateja waisitishe kwa muda huku wakikusubiria uende Bank.
Muhimu uwahi Bank kesho asubuhi kusitisha, hiyo polisi report unaweza kutengeneza hapo kwenye simu ukapita tu polisi kupitishiwa nafikiri siku hizi ni bure ila ukienda huko kwa wakala kutengenewa nafikiri ni shs elf mbili.
Mungu amsaidie avipate
Tumia sim bank mpaka muda wa exp date yake ufike upewe mpya au fatautaratibu Toa mkwanjwa upewe mpya .Habari wakuu
Naomba kujua namna ya kupata card mpya ya CRDB, nimepoteza, na usalama upoje wadau kuhusu pesa zilizomo ..
Je, kuna malipo yoyote nalipia kuapata card mpya, inachukua siku ngapi na nalipa kias gani wadau?
Msaada nimevurugwaaa hapa