Nimepoteza dola 500 kwenye crypto futures, ni mgeni kwenye tasnia hii, napataje mentor?

Nimepoteza dola 500 kwenye crypto futures, ni mgeni kwenye tasnia hii, napataje mentor?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Habarini!
Mimi nawiwa sana kujaribu kitu hiki, ukizingatia kwa sasa kwamba dunia ni teknolojia, na teknolojia ndiyo dunia yenyewe.

Mhe. Nape Nnauye alishaongelea hili suala akiwasihi vijana wa kitanzania na watu wazima kama mimi, wachangamkie fursa hii.

Nimejaribu mara kadhaa ku trade futures, nikapoteza zaidi ya dollar 500. Ila sijakata tamaa, na mentor nampataje?

Je, Youtube videos na pdf's zinaweza kuwa muongozo mzuri?

Maji nimekwishayavulia nguo, sharti niyaoge.

Karibuni mno wanazuoni, Mwl.RCT Mshana Jr na wengineo.
 
Kenge hasikii hadi atoke damu.
 
Back
Top Bottom