M mimiamadiwenani JF-Expert Member Joined Mar 9, 2022 Posts 5,718 Reaction score 7,784 Jun 15, 2024 #1 Habarini! Mimi nawiwa sana kujaribu kitu hiki, ukizingatia kwa sasa kwamba dunia ni teknolojia, na teknolojia ndiyo dunia yenyewe. Mhe. Nape Nnauye alishaongelea hili suala akiwasihi vijana wa kitanzania na watu wazima kama mimi, wachangamkie fursa hii. Nimejaribu mara kadhaa ku trade futures, nikapoteza zaidi ya dollar 500. Ila sijakata tamaa, na mentor nampataje? Je, Youtube videos na pdf's zinaweza kuwa muongozo mzuri? Maji nimekwishayavulia nguo, sharti niyaoge. Karibuni mno wanazuoni, Mwl.RCT Mshana Jr na wengineo.
Habarini! Mimi nawiwa sana kujaribu kitu hiki, ukizingatia kwa sasa kwamba dunia ni teknolojia, na teknolojia ndiyo dunia yenyewe. Mhe. Nape Nnauye alishaongelea hili suala akiwasihi vijana wa kitanzania na watu wazima kama mimi, wachangamkie fursa hii. Nimejaribu mara kadhaa ku trade futures, nikapoteza zaidi ya dollar 500. Ila sijakata tamaa, na mentor nampataje? Je, Youtube videos na pdf's zinaweza kuwa muongozo mzuri? Maji nimekwishayavulia nguo, sharti niyaoge. Karibuni mno wanazuoni, Mwl.RCT Mshana Jr na wengineo.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Jun 15, 2024 #2 Fanya kazi acha ujinga.
M mimiamadiwenani JF-Expert Member Joined Mar 9, 2022 Posts 5,718 Reaction score 7,784 Jun 15, 2024 Thread starter #3 Hujafuata naelekezo ya uzi. Soma uzi vema. Usikurupuke! Red black said: Fanya kazi acha ujinga Click to expand...
Hujafuata naelekezo ya uzi. Soma uzi vema. Usikurupuke! Red black said: Fanya kazi acha ujinga Click to expand...
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Jun 15, 2024 #4 Kenge hasikii hadi atoke damu.