Ni kweli unapotea!. Nafikiri changamoto kubwa uliyonayo ni kuhusiana kwako na Mungu ki jamii au kifamilia zaidi na sio kibinafsi, kwahiyo hauna ushuhuda wowote wa roho ama mwilini mwako kukuonesha kwamba Mungu yupo, ila ukweli Yupo, na anakupenda sana, ingawa zipo roho za kukudanga zinakuambia tofauti,Kama neno linavyosema:
'1 Timothy 4:1
Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani'
Imani chanzo chake ni kusikia, jitahidi kutamani kusikiliza maneno ya Mungu ili imani yako ijengeke