Nimepoteza Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

Nimepoteza Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wakuu nimepoteza NIDA,na nina police loss report,nauliza namna ya kutuma maombi kwa njia ya mtandao ili kuomba kadi. nyingine inakuwaje,maana kwenye website ya NIDA,sijaona fomu ya maombi kwa waliopoteza vitambulisho.

Msaada kwa anaejua.

Shukrani
 
Tafuta loss report Toka polisi kisha nenda ofisi zao na shilingi elfu ishirini, haya ya website hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom