kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Nilipoteza simu na fedha maeneo ya Kimanga, nikaenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa, nikapewa RB na loss report. Wakati nimechukua daladala narudi kimanga pia nafika home najikuta sina ile report.
Utaratibu ukoje kwakua nahitaji sana loss report ili nika-renew line yangu. Je nikirudi tena polisi kuwaeleza sitachapwa makofi?
Utaratibu ukoje kwakua nahitaji sana loss report ili nika-renew line yangu. Je nikirudi tena polisi kuwaeleza sitachapwa makofi?