kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Nmepoteza tangu alhamis mkuu. Ndo nawaza namna ya kufanya hapa.Nenda kituo kingine kachukue nyingine...halaf leo j2 umepataje loss report?
Nenda kituo kingine kachukue nyingine...halaf leo j2 umepataje loss report?
Nmepoteza tangu alhamis mkuu. Ndo nawaza namna ya kufanya hapa.
Sasa RB mbona ilishatolewa. Itakuaje nipewe RB 2, sio uhalifu?
Sio kwamba taarifa hua zinasambazwa vituo vyote ili kwamba kama kuna mtu ameokota na kukabidhi polisi basi kila kituo kitajua hii mali iliripotiwa wapi.Ni uharifu kisheria, ila kibongo bongo ni jambo la kawaida sana...maana akuna central system ya hizo lose reports, so ni ngumu kufahamika kiurahisi.
wogo huu unaligharimu taifa hili, nenda ukaripoti kuwa umepoteza leseni, full stopNilipoteza simu na fedha maeneo ya Kimanga, nikaenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa, nikapewa RB na loss report. Wakati nimechukua daladala narudi kimanga pia nafika home najikuta sina ile report.
Utaratibu ukoje kwakua nahitaji sana loss report ili nika-renew line yangu. Je nikirudi tena polisi kuwaeleza sitachapwa makofi?
Ni kweli usemalo, huwa hipo hivyo lakini ni kwa vituo vya maeneo rafiki, ila pia kutokana na mali yenyewe iliyopotea.Sio kwamba taarifa hua zinasambazwa vituo vyote ili kwamba kama kuna mtu ameokota na kukabidhi polisi basi kila kituo kitajua hii mali iliripotiwa wapi.
Loss report unalipia, wewe ndio unakula hasara wala hawajali.Nilipoteza simu na fedha maeneo ya Kimanga, nikaenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa, nikapewa RB na loss report. Wakati nimechukua daladala narudi kimanga pia nafika home najikuta sina ile report.
Utaratibu ukoje kwakua nahitaji sana loss report ili nika-renew line yangu. Je nikirudi tena polisi kuwaeleza sitachapwa makofi?
Loss report unalipia, wewe ndio unakula hasara wala hawajali.
Yan hapo ndo pananipa wasiwasi, na bora wanione fala tu ila kwa akili za polisi wa wanaweza hata kukutupa lockup ushike adabu kwanza afu ndo wakusikilizeDah majanga!
Labda uende tena ukafungue jalada lengine la malalamiko ya kupoteza lose report ya mwanzo,wakikuuliza uliza maswali waambie ulipigwa ndole kwenye daladala japo watakuona bonge la fala ila lengo lako litakuwa limeshatimia.
Katoe taarifa upya upate ingine. Nani atakukumbuka kituo cha polisi kulivyo busy?Kwahyo nikaripoti nimepoteza Loss report au nikatoe taarifa upya?
Sawa mkuu. Kesho mapemaa nazama tabata postKatoe taarifa upya upate ingine. Nani atakukumbuka kituo cha polisi kulivyo busy?
[emoji23][emoji23]Mkuu, tupe mrejesho, ilikuwa kuwaje baada ya kufika kituoni? Walikumamata makofi au!?Kwahyo nikaripoti nimepoteza Loss report au nikatoe taarifa upya?