Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa NACTE

john90

New Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa nacte (AVN) na kwa sasa nashindwa kupata password ya kuweza ku log in katika account yang na nna uhitaj sana wa kupata AVN number kwa yeyote mwenye uwezo tafadhal naomba anisaidie

Mawasiliano 0656271493
 
Renew
 
nenda tigo shop zamani yasa utapata Huduma stahiki au uje nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…