Nimepoteza simu leo asubuhi Tecno Camon 11

happyrozo

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
53
Reaction score
27
Habarini za saizi wadau wa Jamii Forums. Nimepoteza simu ya Tecno Camon 11 leo, nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri ni nini hatua ya kwanza ya kuchukua kuanzia sasa na ni namna gani nitaweza kuipata simu yangu. Asanteni sana
 
Imei kaka ndo nimeisahau, ndo napekua pekua kama kuna mahali nishawahi kuisev
Ingia kwenye acc yako ya google kupitia kompyuta utaikuta imei yako huko

N3mda na imei polisi karipot na waambie unataka kuifuatili
Itakugharimu pesa kuanzi elf50 na kuendelea

Na kuna uwezekano mwizi akabadili imei....itakua ndio imeisha hiyo
 
Block line fasta hasa kama unatumiage mobile app banking usije pigwa hela.
 
Ingia kwenye acc yako ya google kupitia kompyuta utaikuta imei yako huko

N3mda na imei polisi karipot na waambie unataka kuifuatili
Itakugharimu pesa kuanzi elf50 na kuendelea

Na kuna uwezekano mwizi akabadili imei....itakua ndio imeisha hiyo
Unakuta sehemu gani ukiingia
 
Ingia kwenye acc yako ya google kupitia kompyuta utaikuta imei yako huko

N3mda na imei polisi karipot na waambie unataka kuifuatili
Itakugharimu pesa kuanzi elf50 na kuendelea

Na kuna uwezekano mwizi akabadili imei....itakua ndio imeisha hiyo
Hii unaikuta wapi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingia kwenye acc yako ya google kupitia kompyuta utaikuta imei yako huko

N3mda na imei polisi karipot na waambie unataka kuifuatili
Itakugharimu pesa kuanzi elf50 na kuendelea

Na kuna uwezekano mwizi akabadili imei....itakua ndio imeisha hiyo
sawa sawa
 
Back
Top Bottom