Nimepungukiwa 200 tu, kakataa kuniuzia chakula

Huenda unapomkanyagaga, huwa unamgusa huwa unamgusa mgusa tu, hivyo ana kisirani nawe. Akikupa msuuze vizuri na msosi utakuwa unakula bure, nyama za kusaza, we kazi yako ni kumuongezea mtaji tu mara kwa mara.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…