Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Wana jamvi naomba mnipeni ushauli kwa siku ya leo hii,nilikuwa najilinda sana kuhusu mademu kutoka kipindi kirefu sana sasa naona jinsi siku zinavyo zidi kusonga mbele wanawake naona kama watu wa kawaida 2 katika mapenzi sionyeshi msisimko hata nikionyesha msisimko ni atleast sana nakuludi vile vile. Nitatizo gani hili ili nilitatue maana naogopa hata kutongoza nisije nikatia aibu.