Nimepunguza Kasi ya Kupumbazwa na Muonekano wa Wanawake warembo (PisiKali)

Nimepunguza Kasi ya Kupumbazwa na Muonekano wa Wanawake warembo (PisiKali)

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Ama kwa hakika hakuna zaidi ya Mungu, nimeteseka sana na kupambania PisiKali na kuzagamua, I thank God that I have able to maximally refrain from lack of self control sexually.

Kwa sasa nakula vizuri bia kidogo, wine full kabati, matunda, misosi bomba. Nikiita shoo nakamua mwanzo mwisho bao 6 za masaa 12.

Wekeza kwenye utulivu upate raha za ukweli.

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
 
Back
Top Bottom