Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana.Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
🤣HapoiIla mfiwa umerudi na moto aisee ila pole sana.
Tushapoa ndugu YANGUPoleni sana.
Shukran sana 🙏🏽Ila mfiwa umerudi na moto aisee ila pole sana.
Asante sana pia nimekalibia🙏🏽Karibu jamvini na pole sana mkuu
🙏🏽🙏🏽Pole sana kwa msiba ndugu yetu karibu sana
AsanteeeeKaribu
Shukran sana 🙏🏽Pole sana na karibu sana hapa jukwaani sehemu pendwa na jukwaa pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Pole na Karibu tenaNimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
Nishapoa ndugu YANGU 🙏🏽Pole na Karibu tena