Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 388
- 484
Ahsante mkuu account zangu zote huwa natumia password moja tu na ni very strong kwa hiyo hata nikikaa miaka mingi sana password inakuwepo.Pole sana. Swali la kizushi, kwa muda wote huo uliwezaje kuwa bado unaikumbuka password? AU uliiandika pahala?
😂😂Karibu, nadhani itakuwa umeshaanza kuwa mzee eti? Maana ni zamani sana
Ng'ombe hazeeki maini kakamkubwaKaribu, nadhani itakuwa umeshaanza kuwa mzee eti? Maana ni zamani sana
Ndo aseme mapema, nisije nikamfungukia hisia zangu akaanza maneno ya unanivunjia heshima.Ng'ombe hazeeki maini kakamkubwa
KWani ili umfungukie inabidi kwanza umdharau?Ndo aseme mapema, nisije nikamfungukia hisia zangu akaanza maneno ya unanivunjia heshima.
Pole sana na karibu sana.Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,
Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smrart phone.
Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia humu,
Salamu zangu za dhati ziende kwa wanaJF wote,
Uko wapi kwa sasa? Nataka nikupeleke sehemu kwa ajili ya Royal Tour kabla hujavamiwa na watu wasiojulikana.Wasalamu wapendwa wangu wa JamiiForums,
Nimekosekana jukwaani kwa miaka kadhaa hii ni kutokana na mihangaiko ya maisha yaani maisha yalinipiga plus magonjwa kiasi cha kukosa smart phone.
Kwa kipindi kirefu sikuweza kuingia JF ila namshukuru Mungu kuanzia sasa nitakuwa nachungulia chungulia humu.
Salamu zangu za dhati ziende kwa wanaJF wote.
Mpwa una file lake huyu mrembo?Karibu tena JamiiForums Senorita23