kwa mujibu wa maelezo yako unaonekana una mvuto wa kutosha ndio maana jamaa katumia muda mwingi kukufuatilia ila nina wasiwasi ukiwa kwenye 6 X 6 may be your perfomance is not good, ndio maana baada ya kushiriki nao tendo la ndoa watu wanachapa lapa kwa sababu muonekano wako haufanani na perfomance yako.
nina rafiki yangu alikuwa na msichana mzuri ambaye anavigezo vyote ila alipo shiriki nae tu tendo la ndoa jamaa hakuwa na hamu tena ya kuwa nae kwa sababu appearance ya yule msichana ilimfanya awe na matuini makubwa ya ku-enjoy mapenzi lakini ulipofikia muda wa kufanya mapenzi kukawa na tofauti kubwa kati ya mawazo yake na uharisia.
nakushauri jihimalishe katika masuala ya mapenzi la sivyo utakuwa unakimbiwa
ninamifano mingi ambayo inafanana na issue yako.
pole dadangu