Nimeripoti utapeli huu kwenye namba 15040 nimeambiwa namba haihusiki na utapeli, je ni kweli?

Nimeripoti utapeli huu kwenye namba 15040 nimeambiwa namba haihusiki na utapeli, je ni kweli?

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
682
Reaction score
1,108
Jana nimepokea sms zile za "Jiunge na freemason upate utajiri n.k"
Nilichofanya nikaforwad sms kwa namba 15040 na kutuma namba iliyonotumia.
👇👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20240916-113831.jpg
    Screenshot_20240916-113831.jpg
    79.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240916-113911.jpg
    Screenshot_20240916-113911.jpg
    238.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240916-114900_1.jpg
    Screenshot_20240916-114900_1.jpg
    72.5 KB · Views: 7
Bado TTCL ni tatizo, namba za matapeli zinapitia huko, sijui kuna shida gani?!
 
Labda wao utapeli ni mpaka mtu aripoti kua namba fulani imenitapeli kiasi fulani, sasa sijui watawapatia wapi hao matapeli wakati wakipiga mzigo laini inatupwa.
 
Umeona screenshot ya mwisho? Inaonesha namba haihusiki na utapeli
Wapo right...umealikwa kwenda kujiunga na freemasons ni hiyari yako kwenda au kutokwenda issue ya utapeli ni wewe na tafsiri yako.(ujinga wako na tamaa zako)
 
Back
Top Bottom