ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
Umeona screenshot ya mwisho? Inaonesha namba haihusiki na utapeliUmeambiwa inaendelea kufanyiwa uchunguzi mbona lugha ni nyepesi mno kuelewa tena kiswahili!
Jana nimepokea sms zile za "Jiunge na freemason upate utajiri n.k"
Nilichofanya nikaforwad sms kwa namba 15040 na kutuma namba iliyonotumia.
πππ
Absolutely.Imetumika kufanikisha
Wapo right...umealikwa kwenda kujiunga na freemasons ni hiyari yako kwenda au kutokwenda issue ya utapeli ni wewe na tafsiri yako.(ujinga wako na tamaa zako)Umeona screenshot ya mwisho? Inaonesha namba haihusiki na utapeli