Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Asalam alaikum mabibi na mabwana baada ya muda mrefu nimerudi JF kwa wale tuliokuwa tumeconnect nitafurahi kusikia kutoka kwenu.
Shukran kwa wote 🙏🏽
Shukran kwa wote 🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musalam..Asalam alaikum mabibi na mabwana baada ya muda mrefu nimerudi JF kwa wale tuliokuwa tumeconnect nitafurahi kusikia kutoka kwenu.
Shukran kwa wote [emoji1431]
Karibu sana ustadhi Mohammad
Musalam..
Karibu sana Shekh..
Ule mzizi uliokauka upo ila hua unaonekana mara moja moja sana.Asante sana Mgugu hivi Mzizi Mkavu yupo? [emoji16]
Ule mzizi uliokauka upo ila hua unaonekana mara moja moja sana.
Member wengi wakongwe sasa hivi wanatumia Id mpya.
Maria nae alipotea mda mrefu ila juzi kuna jukwaa nilimuonaNa Maria Roza [emoji16]
Daah!! Nimecheka saana.
hahahaaa kipi kikuchekeshacho mkuuDaah!! Nimecheka saana.