Wana JF habari zenu nyote.
Nina furaha kubwa kuwa hapa tena baada ya kumaliza majukumu yaliyoniweka bize sana kiasi kwamba ilibidi kufanya maamuzi magumu ya kuacha kutumia Social Media maana nilikuwa so much addicted. Nilimiss sana JF na wadau wote hasa forum hii ya Chitchat.