Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

kuna watu mnafanya maisha yawe serious sana yaani kucheza huku anajiangalia ndiyo issue??
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hebu waambie banah umuhimu wa kioo kwa mwanamke
 
Mkuu uliferi sana,
Unajua ndio maana sisi wanaume huwa tunapita mahara tunapata kongoro au nyama choma maana muda wote tuko vitani,
Baada ya kumkuta anacheza ulipaswa umpokee kwa kuimba wimbo huo huo huku nawe ukicheza kidogo,na baada ya kufunguliwa mlango ungeliendeleza hilo sebene kisha unampelekea moto ukiwa uko full shangwe,,
Baada ya hapo koga subiri kifuatacho,msosi na umbea wote uliomfanya acheze utupu ,utaekezwa bila kuuliza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mapaka shume hamkosi duuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu sanaa
 
Kule insta kuna "teaser challenge" ya video gani tukaone?[emoji2957][emoji39][emoji97]
 
Mkuu hakikisha umetegesha kamera hili swala likijirudia uje na picha hapa maana tunapata kazi kushauri vitu tusivyo viona
 
Ninachohofia, ni kile kioo cha bafuni kwangu... nnapojiangalia na kufurahia ile kazi ya macho yangu!
 
Issue sio uchi wake..issue kubwa ni kukatika mauno uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo.
We wa wapii? Kuna watu hamjui mapenzi nyie hahahahaaaa!! Hapo wala usingeshangaa, ungeanza kula chakula chako bila hata kunawa mikono🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umenishinda tabia mkuu acha kumrusha roho mwenzio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatuwezi kosekana duniani kuleta balance
 
Yaan ningekua wewe ninge subiri usiku , taa ya rangi wewe on your coach halafu unamwambia dance for me baby 😁😁

Tatizo kuku wa uswahilini
 
Yani hakikaa ndo siku ambayoo angepigwaa mbupu mpaka ahisi kifafaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 

Hahahhahaha, mkuu inawezekana yeye ndo anaishi na chizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kawaida sana kwa wadada mkuu hata kujimanua kwenye kioo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…