Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 788
- 1,743
hongera mkuu.Tanzania ni kubwa ashukuriwe J.K.Nyerere kwa kuwahi maeneo..kama hujaizunguu Tz huwezi faham ukubwa wake.Ndugu wanajf habari za siku nyingi nilipotea kidogo sasa nmerudi mapumzikoni kutoka Bamako ñchini Mali, bahati nzuri pia nmebahatika kumtembelea bibi yangu aliyeko Patamela Songwe kupitia Makongolosi, kwa ujumla huu mji watu hawalali ikifika saa moja jioni ndio biashara zinafunguliwa hasa za mama lishe, kando ya Barabara zilizofungwa taa za za Sola. Kwa kweli taa zile ni fursa kwa jamii ya Makongolosi.
Baadhi vijiji nilivyotembea ni
Mwaoga
Shoga
Masanza
Ujerumani
Jamaica
Lupa
Mamba
Gua
Udinde
Some
Iboma
Manyanyà
Matundasi
Matondo na itumbi
Malangamilo
Mkola kwa kweli Tanzania ni kubwa.
Ulikuwaga unanisumbua sana hapa jf kuulizia mambo ya Songwe na Chunya.Ndugu wanajf habari za siku nyingi nilipotea kidogo sasa nmerudi mapumzikoni kutoka Bamako ñchini Mali, bahati nzuri pia nmebahatika kumtembelea bibi yangu aliyeko Patamela Songwe kupitia Makongolosi, kwa ujumla huu mji watu hawalali ikifika saa moja jioni ndio biashara zinafunguliwa hasa za mama lishe, kando ya Barabara zilizofungwa taa za za Sola. Kwa kweli taa zile ni fursa kwa jamii ya Makongolosi.
Baadhi vijiji nilivyotembea ni
Mwaoga
Shoga
Masanza
Ujerumani
Jamaica
Lupa
Mamba
Gua
Udinde
Some
Iboma
Manyanyà
Matundasi
Matondo na itumbi
Malangamilo
Mkola kwa kweli Tanzania ni kubwa.