Soraya A. Souleymane
Member
- Aug 12, 2012
- 24
- 26
Hi all
Baada ya kutumia jina la kuazima na avatar fake kwa muda mrefu nimeamua
kujiunga kwa jina langu halisi. Nina sababu zangu binafsi zinazo
nipeleka kubadilisha privacy yangu. Naomba ushirikiano toka kwa members
wote. Asanteni
Soraya
Hongera sana kwa uamuzi wako, tupo pamoja.
karibu ata mimi hili ni langu.moli
Karibu sana JF.
Karibu sana.
JE AVATAR? nayo sio feki tunatumaINI...Karibu kwa muonekano mPya JF
Kwa kufanya maamuzi Maamuzi Magumu yako hiyo ni zaidi ya Raisi wetu Anavyoshindwa kufanya maamuzi Pokea Like yangu ambayo ni ya kwanza...kwako kwa jina lako halisi